Nilimuuliza Anas bin Malik: alikuwa Nabii Rehema na amani za Allah ziwe juu yake- akiswali…

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi na misingi yake > Nilimuuliza Anas bin Malik: alikuwa Nabii Rehema na amani za Allah ziwe juu yake- akiswali…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Nilimuuliza Anas bin Malik: alikuwa Nabii Rehema na ama…

عن مَسْلَمَةَ سَعِيدِ بْنِ يَزِيد قال: سألت أنس بن مالك: أكان النبي صلى الله عليه وسلم يُصَلِّي في نَعْلَيْهِ؟ قال: «نعم».

Maelezo ya hadith: Nilimuuliza Anas bin Malik: alikuwa Nabii Rehema na ama…

Katika madhumuni ya sheria ni kutofautiana na watu wa kitabu, (Mayahudi na wakristo), nakuondoa kila kitu ambacho ndani yake kina tabu na uzito juu ya muislamu, na alimuuliza Saidi bin thabit naye ni katika waaminifu wakubwa miongoni mwa wanafunzi wa maswahaba, kamuuliza Anas bin Maliki -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- kuhusu Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- Hivi je alikuwa akiswali na viatu vyake; ili iwe kwake ni kiigizo? Au ni kwasababu aliliona hilo haliwezekani kwasababu yakuwa mara nyingi huwa na uchafu na udhia, Anasi akamjibu, Ndiyo, alikuwa akiswali na viatu vyake, nakuwa hilo ni katika sunna zake takatifu, na hili si maalumu kwa ardhi fulani au zama maalumu.

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Sala. · Fiq'hi na misingi yake. · Nguzo za Swala.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
الحمد لله Louange à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56