Nilikuwa nikimuona Mtume rehema na amani ziwe juu yake akitoa salamu kuliani kwake, na kus…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Nilikuwa nikimuona Mtume rehema na amani ziwe juu yake akitoa salamu kuliani kwake, na kus…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Nilikuwa nikimuona Mtume rehema na amani ziwe juu yake…
Maelezo ya hadith: Nilikuwa nikimuona Mtume rehema na amani ziwe juu yake…
Ameeleza Sa'di bin Abii Waqasi radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake ya kwamba alikuwa akiona shavu la Mtume rehema na amani ziwe juu yake kutokana na kugeuka kwake sana anapotoa salamu kwa ajili ya swala yake, kuliani kwake kwa ajili ya salamu ya kwanza, na kushotoni kwake kwa ajili ya salamu ya pili.
Mafunzo: Nilikuwa nikimuona Mtume rehema na amani ziwe juu yake…
- Sheria ya kupitiliza katika kugeuka katika upande wa kulia na upande wa kushoto.
- Sheria ya kutoa salamu mbili kuliani na kushotoni.
- Amesema Nawawi: Na lau mtu atatoa salamu mbili kuliani kwake au kushotoni kwake au mbele yake au ya kwanza kushotoni kwake na ya pili kuliani kwake swala yake itakuwa sahihi, lakini atakosa fadhila ya usahihi wake.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Sala.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Nguzo za Swala.
· Sifa za Swala.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
حسبنا الله ونعم الوكيل
Allah nous suffit, quel excellent protecteur