Adhabu kali ya moto itazipata nyayo za miguu

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi na misingi yake > Adhabu kali ya moto itazipata nyayo za miguu

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Imamu Muslim - Imepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim kwa riwaya zake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Adhabu kali ya moto itazipata nyayo za miguu

عن أبي هريرة وعبد الله بن عمرو وعائشة رضي الله عنهم عن رسول الله صلى الله عليه وسلم : أنه قال: (ويلٌ للأعْقَاب من النَّار).

Maelezo ya hadith: Adhabu kali ya moto itazipata nyayo za miguu

Anatahadharisha Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- juu ya kufanya uzembe katika swala la udhu, na kutotekeleza udhu vilivyo, na anahimiza juu ya kuzingatia kuukamilisha, na kwakuwa mwisho wa miguu mara nyingi ndio huwa hayafiki maji ya udhu, basi mapungufu yanakuwa katika twahara na swala kwasababu hiyo, na akaeleza kuwa adhabu itamiminika juu ya hilo na kwa mfanyaji wake anayefanya uzembe katika twahara yake ya kisheria.

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Twahara - usafi- · Fiq'hi na misingi yake. · Udhu - kutawadha. · Nguzo za Udhu.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
الله أكبر Allah est le plus grand

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56