Islam > Sw > Hadith > Quran tukufu na elimu zake > Atakayesoma aya mbili za mwisho wa suratul Baqara zitamtosheleza
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureعن أبي مسعود رضي الله عنه قال: قال النبي صلى الله عليه وسلم: «مَنْ قَرَأَ بِالْآيَتَيْنِ مِنْ آخِرِ سُورَةِ الْبَقَرَةِ فِي لَيْلَةٍ كَفَتَاهُ».
Ameeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa atakayesoma aya mbili za mwisho katika suratul-Baqara usiku, basi Mwenyezi Mungu atamtosheleza na shari na kila lenye kuchukiza, na imesemwa: Zitamtosheleza na kisimamo cha usiku, na imesemwa: Zita
mtosha na nyiradi zote, na imesemwa kuwa: Ni kiwango kidogo kinachoweza kumtosheleza mtu na kusoma Qur'ani katika kisimamo cha usiku, na imesemwa kinyume na hivyo, na huenda yote yaliyotajwa yanakusanywa na tamko hilo.
Makundi : Qur'an tukufu na Elimu zake · Fadhila za Qur'an. · Fiq'hi -Elimu- ya Dua na Dhikri mbali mbali. · Nyiradi za Asubuhi na Jioni. · Fadhila za Sura na Aya. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.