Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema

Islam > Sw > Hadith > Quran tukufu na elimu zake > Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Tirmidhi na bin Majah

Ni nzuri (Hasan)

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema

Maelezo ya hadith: Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema

Ilipoteremka aya: "Kisha hakika bila shaka mtaulizwa siku hiyo kuhusu neema" Yaani: Mtakuja kuulizwa kuhusu kutekeleza shukurani kwa yale aliyowaneemesha Mwenyezi Mungu juu yenu miongoni mwa neema, akasema Zubairi bin Awwam radhi za Allah ziwe juu yake: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, ni neema zipi tutakazoulizwa juu yake?! Ni neema mbili ambazo hazihitaji kuziomba ambazo ni tende na maji!.

Akasema Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-: Ama hakika nyinyi mtaulizwa kuhusu neema pamoja hali hii iliyo nayo, ni hizi neema mbili kubwa katika neema za Mwenyezi Mungu Mtukufu.

Mafunzo: Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema

Makundi : Qur'an tukufu na Elimu zake · Tafsiri ya Qur'an. · Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Akida- Itikadi- · Kuipa nyongo Dunia na Kujiepusha na yaliyo haramu. · Hali za watu wema. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Kuamini siku ya mwisho · Tafsiri za Aya · Maisha ya Akhera.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله Gloire à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56