Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni katika ukamilifu wa swala

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni katika ukamilifu wa swala

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni kat…

Maelezo ya hadith: Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni kat…

Anawaamrisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake wenye kuswali kunyoosha safu zao, na wasitanguliane wala wasirudi nyuma, na kwamba kuzinyoosha ni sehemu ya kukamilisha na ukamilifu wa Sala, na kuwa kupinda kwa safu ni dosari na ni upungufu ndani yake.

Mafunzo: Nyoosheni safu zenu, kwani hakika kunyoosha safu ni kat…

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Sala. · Fiq'hi na misingi yake. · Hukumu ya Imamu na Maamuma. · Hukumu za Misikiti.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله Gloire à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56