Itakaposimamishwa swala na kikatengwa chakula cha usiku basi anzeni na chakula cha usiku

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi na misingi yake > Itakaposimamishwa swala na kikatengwa chakula cha usiku basi anzeni na chakula cha usiku

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim katika riwaya zake zote

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Itakaposimamishwa swala na kikatengwa chakula cha usiku…

عن عائشة وعبد الله بن عمر وأنس بن مالك رضي الله عنهم مرفوعاً: «إِذَا أُقِيمَت الصَّلاَة، وحَضَرَ العَشَاء، فَابْدَءُوا بِالعَشَاء».

Maelezo ya hadith: Itakaposimamishwa swala na kikatengwa chakula cha usiku…

Itakaposimamishwa swala, na chakula au kinywaji kikawa kiko tayari, inatakiwa kuanza na kula au kunywa mpaka yakatike matamanio ya mwenye kuswali, na akili yake asikaye anafikiria hilo, na aingie katika swala, na sharti ya hilo ni muda wa swala kutokuwa mfinyu, na uwepo wa uhitaji na kufikiria chakula, na hii inathibitisha ukamilifu wa sheria na kuzingatia kwake haki za nafsi pamoja na wepesi na upole.

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Sala. · Fiq'hi na misingi yake. · Adhana na Iqama.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
لا إله إلا الله Pas de divinité sauf Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56