Waamrisheni watoto wenu kuswali nao wakiwa watoto wa miaka saba, na wapigeni kwa ajili yak…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Waamrisheni watoto wenu kuswali nao wakiwa watoto wa miaka saba, na wapigeni kwa ajili yak…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud
Ni nzuri (Hasan)
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Waamrisheni watoto wenu kuswali nao wakiwa watoto wa mi…
Maelezo ya hadith: Waamrisheni watoto wenu kuswali nao wakiwa watoto wa mi…
Amebainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa baba awaamrishe watoto wake wa kiume na wa kike kusali na umri wao ukiwa mikaa saba, na awafundishe wanayoyahitaji kwa ajili ya kuitekeleza. Na wakifikisha miaka kumi azidi kutilia mkazo, awapige wanapofanya uzembe, na awatenganishe katika vitanda.
Mafunzo: Waamrisheni watoto wenu kuswali nao wakiwa watoto wa mi…
- Kuwafundisha dini watoto wadogo kabla hawajabalehe, na hasa hasa swala.
- Kipigo kinakuwa ni kwa ajili kutia adabu, nasi kwa kuadhibu, apige kipigo kinachoendana na hali yake.
- Sheria imetilia umuhimu kuhifadhi heshima, na kuziba kila njia inayopelekea kuiharibu.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Sala.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Wajibu wa Swala na Hukumu ya Mwenye kuiacha.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله
Gloire à Allah