Enyi watu, toleaneni salamu na muunge udugu, na mlishe chakula, na msali usiku watu wakiwa…

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Enyi watu, toleaneni salamu na muunge udugu, na mlishe chakula, na msali usiku watu wakiwa…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Enyi watu, toleaneni salamu na muunge udugu, na mlishe…

Maelezo ya hadith: Enyi watu, toleaneni salamu na muunge udugu, na mlishe…

Mtume rehema na amani ziwe juu yake alipokuja Madina na watu wakamuona, haraka sana walimfuata, na miongo mwa waliomfuata ni Abdallah bin Salam radhi za Allah ziwe juu yake na alikuwa ni katika Mayahudi wakati huo, alipomuona akajua kuwa uso wake haukuwa wa mtu muongo; Kwa sababu ya kile kinachoonekana kwake kama, nuru, na uzuri, na heshima na ukweli, ikawa jambo la kwanza alilolisikia kutoka kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake ni kuwataka watu wafanye matendo yatakayopelekea kuingia Peponi, ikiwemo:

La kwanza: kusambaza salamu ya amani, na kuionyesha na kuikithirisha kwa wale unaowajua na usiowajua.

La pili: Kulishiza chakula kwa sadaka na zawadi na kukaribisha ugeni.

La tatu: Kuunga udugu kwa wale kinachowaunganisha kizazi au ukaribu wa udugu upande wa baba au mama.

La nne: Swala za sunna, kisimamo cha usiku na watu wakiwa wamelala.

Mafunzo: Enyi watu, toleaneni salamu na muunge udugu, na mlishe…

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Sala. · Mambo yaliyo bora. · Ubora na fadhila za matendo mema. · Fiq'hi na misingi yake. · Swala ya Kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu. · Kisimamo cha Usiku. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
الحمد لله Louange à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56