Atakayeisahau swala, basi aiswali atakapoikumbuka, haina kafara nyingine isipokuwa hiyo
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Atakayeisahau swala, basi aiswali atakapoikumbuka, haina kafara nyingine isipokuwa hiyo
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakayeisahau swala, basi aiswali atakapoikumbuka, hain…
Maelezo ya hadith: Atakayeisahau swala, basi aiswali atakapoikumbuka, hain…
Amebainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa atakayesahau kutekeleza swala ya faradhi mpaka ukatoka wakati wakati wake, basi anatakiwa aende mbio na afanye haraka kuilipa pale anapoikumbuka, amesema Allah katika kitabu chake kitukufu: "Na usimamishe swala kwa ajili ya kunitaja" [Twaha: 14] Simamisha swala zilizosahaulika unapozikumbuka.
Mafunzo: Atakayeisahau swala, basi aiswali atakapoikumbuka, hain…
- Umuhimu swala na kutozembea katika kuitekeleza na kuilipa.
- Haitakiwi kuichelewesha swala nje ya wakati wake kwa makusudi bila udhuru.
- Uwajibu wa kulipa swala kwa aliyesahau na aliyesinzia mpaka atakapo amka.
- Uwajibu wa kulipa swala haraka hata kama ni katika nyakati zilizoharamishwa.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Sala.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Wajibu wa Swala na Hukumu ya Mwenye kuiacha.
· Makosa ya wenye kusali.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله
Gloire à Allah