Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Ewe Bilali, simamisha swala, tupe raha kwayo
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureAkasema mtu mmoja katika Masahaba: Laiti ningeliswali nikastarehe, waliokuwa naye waka kana kwamba wamemuabisha kwa hilo, akasema: Nilimsikia Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akisema: Ewe Bilali! Nyanyua adhana na simamisha swala; ilitustarehe kwayo; na hii ni kwa sababu ndani yake kuna kuzungumza na Mwenyezi Mungu Mtukufu, na raha ya roho na moyo.
Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Sala. · Fiq'hi na misingi yake. · Fadhila za Swala. · Adhana na Iqama.