Ya kwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alikuwa anaposwali Alfajiri anakaa katika ms…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Ya kwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alikuwa anaposwali Alfajiri anakaa katika ms…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Ya kwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alikuwa a…
Maelezo ya hadith: Ya kwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alikuwa a…
Na miongoni mwa sunna za Mtume rehema na amani ziwe juu yake ni kuwa anaposwali Alfajiri anakaa katika mswala wake mpaka Jua linachomoza kwa kunyanyuka, na alikuwa hasimami kutoka katika mswala wake aliouswalia Alfajiri, mpaka Jua lichomoze. Jua linapochomoza anasimama, na walikuwa wakizungumza wanachukua katika baadhi ya mambo yao ya kabla ya Uislamu na huku yeye kanyamaza, wanacheka, na huenda yeye akatabasamu pamoja nao.
Mafunzo: Ya kwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake alikuwa a…
- Sunna ya kufanya dhikiri asubuhi mpaka Jua lichomoze, na kubaki katika kikao chake anapokuwa hana udhuru.
- Kumebainishwa hali aliyokuwa nayo Mtume rehema na amani ziwe juu yake miongoni mwa tabia njema na upole, kiasi kwamba alikuwa akikaa na Maswahaba zake, na akisikiliza mazungumzo yao na simulizi zao, na anatabasamu kwa sababu yake.
- Inafaa kufanya mazungumzo na kukumbushia enzi za ujinga msikitini.
- Inafaa kucheka na kutabasamu; kwa sababu kilichokatazwa ni kukithirisha kucheka.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Sala.
· Historia ya Mtume.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Mambo ya Mtume.
· Historia na Taarekh.
· Hukumu za Misikiti.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
الحمد لله
Louange à Allah