Kati ya kila adhana mbili kuna swala, kati ya kila adhana mbili kuna swala" Kisha akasema …

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Kati ya kila adhana mbili kuna swala, kati ya kila adhana mbili kuna swala" Kisha akasema …

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Kati ya kila adhana mbili kuna swala, kati ya kila adha…

Maelezo ya hadith: Kati ya kila adhana mbili kuna swala, kati ya kila adha…

Amebainisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa baina ya kila adhana na ikama kuna swala ya sunna, na akalirudia hilo mara tatu, na akaeleza katika mara ya tatu kuwa hilo ni sunna na inapendeza kwa atakayetaka kuswali.

Mafunzo: Kati ya kila adhana mbili kuna swala, kati ya kila adha…

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Sala. · Fiq'hi na misingi yake. · Adhana na Iqama. · Swala ya Kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
أستغفر الله Je demande pardon à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56