Yeyote atakaye kujieni hali yakuwa mmekubaliana kumfanya kiongozi mtu mmoja, akataka kupas…
Islam > Sw > Hadith > Siasa ya kisheria > Yeyote atakaye kujieni hali yakuwa mmekubaliana kumfanya kiongozi mtu mmoja, akataka kupas…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Yeyote atakaye kujieni hali yakuwa mmekubaliana kumfany…
Maelezo ya hadith: Yeyote atakaye kujieni hali yakuwa mmekubaliana kumfany…
Anabainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa waislamu watakapokubaliana juu ya kiongozi mmoja, na mshikamano mmoja, kisha akaja anayetaka kumpokonya madaraka, au akataka kuwasambaratisha waislamu kuwafanya kuwa makundi makundi, ni lazima wamzuie na wampige vita, kwa kuzuia shari yake, na kwa kuhifadhi damu za waislamu.
Mafunzo: Yeyote atakaye kujieni hali yakuwa mmekubaliana kumfany…
- Ulazima wa kumtii kiongozi anayesimamia mambo ya waislamu, katika mambo yasiyokuwa maasi, na uharamu wa kujitoa dhidi yake.
- Atakayejitoa kwa kiongozi wa waislamu na umoja wao, basi ni wajibu kumpiga vita vyovyote vile itakavyokuwa nafasi yake ya cheo au ukoo.
- Himizo la kuwa wamoja na kutofarakana na kuhitilafiana.
Makundi :
Siasa ya Kisheria.
· Kutoka kwa ajili ya kumpinga kiongozi.
· Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya
بسم الله الرحمن الرحيم
mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
الحمد لله
Louange à Allah