Hakika ninachokiogopea zaidi juu yenu ni shirki ndogo" Wakasema: Ni ipi shirki ndogo ewe M…
Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Hakika ninachokiogopea zaidi juu yenu ni shirki ndogo" Wakasema: Ni ipi shirki ndogo ewe M…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Ahmad
Ni nzuri (Hasan)
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hakika ninachokiogopea zaidi juu yenu ni shirki ndogo"…
Maelezo ya hadith: Hakika ninachokiogopea zaidi juu yenu ni shirki ndogo"…
Anaeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- yakuwa jambo kubwa zaidi analoliogopea juu ya umma wake: Ni shirki ndogo nayo; ni mtu kufanya kwa ajili ya watu. Kisha akaeleza kuhusu adhabu ya wenye kujionyesha siku ya Kiyama kwa kuambiwa: Nendeni kwa wale mliokuwa mkifanya kwa ajili yao, mkatazame je wanamiliki malipo na thawabu za kukupeni kwa amali hiyo?!.
Mafunzo: Hakika ninachokiogopea zaidi juu yenu ni shirki ndogo"…
- Ulazima wa kutakasa matendo kwa ajili ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, na kutahadhari na riyaa.
- Huruma yake kubwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- juu ya umma wake na pupa yake ya kutaka kuwaongoza na kuwapa kwake nasaha.
- Ikiwa hii ndio hofu yake Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akizungumza na Masahaba ambao ndio watukufu kwa watu wema, basi hofu kwa wale wataokuja baada yao ni kubwa zaidi.
Makundi :
Akida- Itikadi-
· Historia ya Mtume.
· Mambo ya Mtume.
· Sifa za kitabia.
· Majina na Hukumu.
· Huruma yake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake:
· Historia na Taarekh.
· Ushirikina.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
أستغفر الله
Je demande pardon à Allah