Yeyote atakayenidhaminia mimi vilivyo kati ya Taya mbili na vilivyo kati ya miguu yake ni…

Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Yeyote atakayenidhaminia mimi vilivyo kati ya Taya mbili na vilivyo kati ya miguu yake ni…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Yeyote atakayenidhaminia mimi vilivyo kati ya Taya mbi…

عن سهل بن سعد رضي الله عنه عن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: «مَنْ يَضْمَنْ لِي مَا بَيْنَ لَحْيَيْهِ وَمَا بَيْنَ رِجْلَيْهِ أَضْمَنْ لَهُ الْجَنَّةَ».

Maelezo ya hadith: Yeyote atakayenidhaminia mimi vilivyo kati ya Taya mbi…

Anaeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuhusu mambo mawili nayo muislamu basi ataingia Peponi,

La kwanza: Kuhifadhi ulimi kutozungumza yale yenye kumchukiza Allah Mtukufu,

La pili: Kuhifadhi tupu kutotumbukia katika machafu;

Kwa sababu viungo viwili hivi hukithiri kutokea maasi kwavyo.

Mafunzo: Yeyote atakayenidhaminia mimi vilivyo kati ya Taya mbi…

Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Sifa za pepo na moto. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
أحدب متناقص Gibbeuse Décroissante Jour 16.7 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
أستغفر الله Je demande pardon à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56