Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbili kabla hajakaa

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbili kabla hajakaa

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbil…

Maelezo ya hadith: Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbil…

Amemhimiza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- mwenye kuja msikitini na akaingia katika wakati wowote, na kwa lengo lolote, asali rakaa mbili kabla hajakaa, nazo ni rakaa mbili za salamu ya msikiti.

Mafunzo: Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbil…

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Sala. · Fiq'hi na misingi yake. · Swala ya Kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu. · Hukumu za Misikiti.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
لا حول ولا قوة إلا بالله Pas de force ni de puissance sauf en Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56