Mayahudi wameghadhibikiwa, na Wakristo ni wapotofu
Islam > Sw > Hadith > Quran tukufu na elimu zake > Mayahudi wameghadhibikiwa, na Wakristo ni wapotofu
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Tirmidhiy
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Mayahudi wameghadhibikiwa, na Wakristo ni wapotofu
Maelezo ya hadith: Mayahudi wameghadhibikiwa, na Wakristo ni wapotofu
Ameeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- yakuwa Mayahudi ni watu waliokasirikiwa na Mwenyezi Mungu; kwa sababu waliujua ukweli na wala hawakuufanyia kazi. Na Wakristo ni watu waliopotea; kwa sababu walifanya matendo bila ya elimu.
Mafunzo: Mayahudi wameghadhibikiwa, na Wakristo ni wapotofu
- Kukusanya kati elimu na matendo ni kuokoka na njia ya waliokasirikiwa na waliopotea.
- Kutahadhari njia ya Mayahudi na Wakristo, na kushikamana na njia iliyonyooka ambayo ni Uislamu.
- Wote kati ya Mayahudi na Wakristo wamepotea na wamekasirikiwa, lakini sifa maalum kwa Mayahudi ni hasira, na sifa maalum kwa Wakristo ni upotovu.
Makundi :
Qur'an tukufu na Elimu zake
· Tafsiri ya Qur'an.
· Akida- Itikadi-
· Majina na Hukumu.
· Tafsiri za Aya
· Uislamu
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله وبحمده
Gloire et louange à Allah