Islam > Sw > Hadith > Quran tukufu na elimu zake > Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema
Ni nzuri (Hasan)Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureIlipoteremka aya: "Kisha hakika bila shaka mtaulizwa siku hiyo kuhusu neema" Yaani: Mtakuja kuulizwa kuhusu kutekeleza shukurani kwa yale aliyowaneemesha Mwenyezi Mungu juu yenu miongoni mwa neema, akasema Zubairi bin Awwam radhi za Allah ziwe juu yake: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, ni neema zipi tutakazoulizwa juu yake?! Ni neema mbili ambazo hazihitaji kuziomba ambazo ni tende na maji!.
Akasema Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-: Ama hakika nyinyi mtaulizwa kuhusu neema pamoja hali hii iliyo nayo, ni hizi neema mbili kubwa katika neema za Mwenyezi Mungu Mtukufu.
Makundi : Qur'an tukufu na Elimu zake · Tafsiri ya Qur'an. · Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Akida- Itikadi- · Kuipa nyongo Dunia na Kujiepusha na yaliyo haramu. · Hali za watu wema. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Kuamini siku ya mwisho · Tafsiri za Aya · Maisha ya Akhera.