Atakayemtembelea mgonjwa ambaye hajafikiwa na mauti, akasema akiwa kwake mara saba: Namuom…
Islam > Sw > Hadith > Tiba na kutumia dawa na ruqya ya kisheria > Atakayemtembelea mgonjwa ambaye hajafikiwa na mauti, akasema akiwa kwake mara saba: Namuom…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ahmad
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakayemtembelea mgonjwa ambaye hajafikiwa na mauti, ak…
Maelezo ya hadith: Atakayemtembelea mgonjwa ambaye hajafikiwa na mauti, ak…
Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake yakuwa hakuna muislamu atakayemtembelea muislamu katika maradhi yake, ambaye muda wa mauti yake haujafika, kisha aliyekwenda kumtembelea akamuombea mgonjwa kwa kusema: "Namuomba Allah Mtukufu" katika dhati yake na sifa zake na vitendo vyake, "Mola wa Arshi Tukufu akuponye", na akarudia mbele yake mara saba, isipokuwa Mwenyezi Mungu atamponya kutokana na maradhi hayo.
Mafunzo: Atakayemtembelea mgonjwa ambaye hajafikiwa na mauti, ak…
- Inapendeza kumuombea mgonjwa kwa dua hii, na kuirudiarudia mara saba.
- Kupatikana kwa ponyo kwa atakayeombewa mbele yake dua hii kwa idhini ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, ikisomwa kwa dhati na kwa mtu mwema.
- Ataisoma dua hii kwa siri na kwa wazi, yote hiyo inafaa, lakini akimsikilizisha mgonjwa ndiyo bora zaidi; kwa sababu katika hilo kuna kuingiza furaha kwake.
Makundi :
Tiba na kutumia dawa na Ruq'ya ya kisheria.
· Ruq'ya ya Kisheria.
· Fiq'hi na misingi yake.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله
Gloire à Allah