Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ni kupi kunusurika? Akasema: "Shika ulimi wako, na …

Islam > Sw > Hadith > Adabu za kisheria > Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ni kupi kunusurika? Akasema: "Shika ulimi wako, na …

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Tirmidhiy na Ahmad

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ni kupi kunusuri…

Maelezo ya hadith: Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ni kupi kunusuri…

Ukba bin Aamiri alimuuliza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuhusu sababu za muumini kuokoka katika dunia na Akhera?

Akasema rehema na amani ziwe juu yake: Shikamana na mambo matatu:

La kwanza: Hifadhi ulimi wako katika yale yasiyokuwa na kheri ndani yake, na kuzungumza kila shari, na usitamke ila la kheri.

La pili: Baki nyumbani kwako ili umuabudu Mwenyezi Mungu katika nyakati za faragha, na ujishughulishe na kumtii Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa ibada, na jitenge nyumbani kwako na fitina.

La tatu: Lia na ujute na utubie kwa yale uliyoyatenda katika madhambi.

Mafunzo: Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ni kupi kunusuri…

Makundi : Adabu za kisheria. · Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Adabu za mazungumzo na kunyamaza. · Toba · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
لا إله إلا الله Pas de divinité sauf Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56