Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > Hili ni jiwe lililotupwa Motoni muda wa (miaka) sabini iliyopita, na sasa linaanguka Moton…
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureMtume rehema na amani ziwe juu yake alisikia sauti ya kushtua kama kuanguka kwa mwili, akawauliza Masahaba aliokuwa nao Mwenyezi Mungu awawie radhi kuhusu sauti hiyo, wakasema: Mwenyezi Mungu na Mtume wake ndio wajuzi zaidi.
Akawaambia rehema na amani ziwe juu yake: Sauti hii mliyoisikia ni ya jiwe lililorushwa kutoka ukingo wa Jahannam miaka sabini iliyopita lilikuwa likiporomoka na kuanguka humo, hivi sasa mliposikia kishindo ndio limefika katika kina chake.
Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Sifa za pepo na moto. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.