Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Sikuacha baada yangu fitina yenye madhara zaidi kwa wanaume kuliko wanawake
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureعن أسامة بن زيد رضي الله عنهما عن النبي صلى الله عليه وسلم قال: «مَا تَرَكْتُ بَعْدِي فِتْنَةً أَضَرَّ عَلَى الرِّجَالِ مِنَ النِّسَاءِ».
Anaeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa hakuacha baada yake majaribu na mtihani wenye madhara makubwa kwa wanaume kuliko wanawake; Mwanamke akiwa ni katika familia yake huenda mume akamfuata mwanamke katika kwenda kinyume na sheria, na akiwa ni mwanamke wa kando yaweza kuwa ni kwa sababu ya kuchanganyika naye na kukaa naye faragha, na maovu mengine yanayoweza kusababishwa na hilo.
Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Kuyasema vibaya matamanio ya nafsi na ya kimwili. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.