Ni vyako vyote ulivyotamani, na mfano wake pamoja navyo

Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > Ni vyako vyote ulivyotamani, na mfano wake pamoja navyo

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Ni vyako vyote ulivyotamani, na mfano wake pamoja navyo

Maelezo ya hadith: Ni vyako vyote ulivyotamani, na mfano wake pamoja navyo

Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa mwenye nafasi na daraja ndogo zaidi kwa wale watakaoingia peponi, ataambiwa: Tamani, basi atatamani, na atatamani tena, mpaka atafikia mahali ataishiwa yote ya kutamani isipokuwa atayataja, hapo ataambiwa: Je, umetamani umefika mwisho? Atasema: Ndiyo, hapo ataambiwa: Basi ni vyako vyote ulivyotamani na mfano wake pamoja navyo.

Mafunzo: Ni vyako vyote ulivyotamani, na mfano wake pamoja navyo

Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Akida- Itikadi- · Sifa za pepo na moto. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Kuamini siku ya mwisho · Maisha ya Akhera.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
اللهم صل على محمد Ô Allah prie sur Muhammad

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56