Maji yatakapokuwa ni kulataini (Mapipa mawili) basi hayashiki uchafu
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Maji yatakapokuwa ni kulataini (Mapipa mawili) basi hayashiki uchafu
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Nasai, Ibn Majah na Ahmad
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Maji yatakapokuwa ni kulataini (Mapipa mawili) basi hay…
Maelezo ya hadith: Maji yatakapokuwa ni kulataini (Mapipa mawili) basi hay…
Aliulizwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuhusu hukumu ya utwahara wa maji ambayo yanazungukiwa na wanyama wafugwao na wanyamapori kwa ajili ya kunywa na mfano wake, akasema rehema na amani ziwe juu yake kuwa: Maji yakifikia kipimo cha pipa mbili kubwa, ambazo zitakuwa na ujazo wa lita (210) basi hayo ni maji mengi hayawezi kunajisika; isipokuwa ikibadilika kwa najisi moja kati ya sifa zake tatu, rangi yake, au ladha yake au harufu.
Mafunzo: Maji yatakapokuwa ni kulataini (Mapipa mawili) basi hay…
- Maji yananajisika ikibadilika kwa najisi moja kati ya sifa zake tatu, rangi yake, au ladha yake, au harufu yake, na hadithi imeeleza kwa ujumla na si kwa kuweka kikomo.
- Wamekubaliana wanachuoni kuwa maji yakibadilishwa na najisi basi yananajisika moja kwa moja, sawa sawa yawe kidogo au mengi.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Twahara - usafi-
· Fiq'hi na misingi yake.
· Hukumu za Maji.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
اللهم صل على محمد
Ô Allah prie sur Muhammad