Siku moja mtu mmoja alikuwa akipita njiani akakuta tawi la miba likiwa njiani akaliondosha…
Islam > Sw > Hadith > Mambo yaliyo bora > Siku moja mtu mmoja alikuwa akipita njiani akakuta tawi la miba likiwa njiani akaliondosha…
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Siku moja mtu mmoja alikuwa akipita njiani akakuta tawi…
Maelezo ya hadith: Siku moja mtu mmoja alikuwa akipita njiani akakuta tawi…
Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake ya kwamba siku moja kuna mtu mmoja alikuwa akitembea njiani akapita katika tawi mti wa miba likiwa barabarani likiwaudhi waislamu, akalivuta na akaliondosha njiani, basi Mwenyezi Mungu akamshukuru na akamsamehe.
Mafunzo: Siku moja mtu mmoja alikuwa akipita njiani akakuta tawi…
- Fadhila za kuondoa udhia njiani, na kwamba hilo ni sababu ya kuupata msamaha wa Mwenyezi Mungu.
- Kutodharau matendo mema hata yakiwa ni madogo.
- Uislamu ni dini ya usafi na kulinda mazingira na amani ya jamii nzima.
Makundi :
Mambo yaliyo bora.
· Ubora na fadhila za matendo mema.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
الحمد لله
Louange à Allah