Yeyote atakaetubebea silaha dhidi yetu, si miongoni mwetu
Islam > Sw > Hadith > Adhabu > Yeyote atakaetubebea silaha dhidi yetu, si miongoni mwetu
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Yeyote atakaetubebea silaha dhidi yetu, si miongoni mwe…
Maelezo ya hadith: Yeyote atakaetubebea silaha dhidi yetu, si miongoni mwe…
Anamtahadharisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- yeyote atakayebeba silaha dhidi ya waislamu, kwa ajili ya kuwatisha au kuwapora, atakayefanya hivyo pasina haki, atakuwa ametenda kosa kubwa na dhambi miongoni mwa madhambi makubwa, na atakuwa kastahiki kemeo hili kali.
Mafunzo: Yeyote atakaetubebea silaha dhidi yetu, si miongoni mwe…
- Tahadhari kubwa ya waislamu kuwapiga ndugu zao waislamu.
- Katika maovu makubwa na ufisadi mkubwa katika ardhi ni kutangaza silaha dhidi ya waislamu, na kufanya ufisadi kwa mauaji.
- Kemeo lililotajwa halihusiani na kupigana kwa haki, kama kuwapiga waliokengeuka na mafisadi na wengineo.
- Uharamu wa kuwatisha waislamu kwa silaha au kinginecho hata kama ni kwa sura ya mzaha.
Makundi :
Adhabu.
· Adhabu ya vibaka.
· Akida- Itikadi-
· Fiq'hi na misingi yake.
· Majina na Hukumu.
· Uovu
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
أستغفر الله
Je demande pardon à Allah