Itakayemrudisha imani ya mkosi wa ndege akaacha shida yake basi atakuwa amefanya shirki, w…

Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Itakayemrudisha imani ya mkosi wa ndege akaacha shida yake basi atakuwa amefanya shirki, w…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Ahmad

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Itakayemrudisha imani ya mkosi wa ndege akaacha shida y…

عن عبد الله بن عمرو بن العاص - رضي الله عنه- مرفوعاً: "مَن ردته الطِّيَرَة عن حاجته فقد أشرك، قالوا: فما كفارة ذلك؟ قال: أن تقول: اللهم لا خير إلا خيرك، ولا طَيْرَ إِلَّا طَيْرُكَ ولا إله غيرك".

Maelezo ya hadith: Itakayemrudisha imani ya mkosi wa ndege akaacha shida y…

Anatueleza Mtume rehema na Amani zimfikie katika hadithi hii kuwa yeyote itakayemzuia mikosi kutoliendea alilolikusudia basi huyu atakuwa kaleta aina miongoni mwa aina za ushirikina, na walipomuuliza maswahaba juu ya kafara ya dhambi hili kubwa aliwaelekeza katika ibara hizi tukufu katika hadithi ambayo inakusanya kulielekeza jambo kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu- na kukanusha uwezo kwa asiyekuwa yeye.

Mafunzo: Itakayemrudisha imani ya mkosi wa ndege akaacha shida y…

Makundi : Akida- Itikadi- · Majina na Hukumu. · Ushirikina.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
الحمد لله Louange à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56