Kinacholewesha kikiwa kingi, basi hata kidogo ni haramu

Islam > Sw > Hadith > Vyakula na vinywaji > Kinacholewesha kikiwa kingi, basi hata kidogo ni haramu

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad

Ni nzuri (Hasan)

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Kinacholewesha kikiwa kingi, basi hata kidogo ni haramu

Maelezo ya hadith: Kinacholewesha kikiwa kingi, basi hata kidogo ni haramu

Amebainisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake yakuwa kila kinywaji au chakula kinachoondosha akili wakati wa kukitumia kingi chake, basi kukitumia kidogo chake ni haramu, hata kisipoondosha akili.

Mafunzo: Kinacholewesha kikiwa kingi, basi hata kidogo ni haramu

Makundi : Vyakula na vinywaji. · Vinywaji vilivyoharamishwa. · Fiq'hi na misingi yake.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
لا حول ولا قوة إلا بالله Pas de force ni de puissance sauf en Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56