Hakika ahadi iliyopo kati yetu na wasiokuwa waislamu ni sala, na atakayeiacha sala basi hu…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Hakika ahadi iliyopo kati yetu na wasiokuwa waislamu ni sala, na atakayeiacha sala basi hu…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Tirmidhiy, Nasai, Ibn Majah na Ahmad
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hakika ahadi iliyopo kati yetu na wasiokuwa waislamu ni…
Maelezo ya hadith: Hakika ahadi iliyopo kati yetu na wasiokuwa waislamu ni…
Anabainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa ahadi na mkataba kati ya waislamu na wasiokuwa wao katika makafiri na wanafiki ni swala, atakayeiacha atakuwa amekufuru.
Mafunzo: Hakika ahadi iliyopo kati yetu na wasiokuwa waislamu ni…
- Ukubwa wa jambo la swala, nakuwa ndio kitenganishi kati ya waumini na makafiri.
- Kudhihiri hukumu za Uislamu kwa muonekano wa hali ya mtu pasina ndani ya moyo wake.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Sala.
· Akida- Itikadi-
· Fiq'hi na misingi yake.
· Wajibu wa Swala na Hukumu ya Mwenye kuiacha.
· Majina na Hukumu.
· Vitenguzi vya uislamu.
· Kufuru
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
لا إله إلا الله
Pas de divinité sauf Allah