Atakayeswali swala yetu na akaelekea kibla chetu na akala kichinjwa chetu basi huyo ni Mui…

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Atakayeswali swala yetu na akaelekea kibla chetu na akala kichinjwa chetu basi huyo ni Mui…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Atakayeswali swala yetu na akaelekea kibla chetu na aka…

Maelezo ya hadith: Atakayeswali swala yetu na akaelekea kibla chetu na aka…

Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa atakayeshikamana na nembo za dini za wazi akaswali mfano wa swala yetu, na akaelekea upande wa Ka'aba Kibla yetu, na akala kichinjwa chetu kwa kuamini kuwa ni halali; basi huyu ndio Muislamu ambaye anadhima ya Mwenyezi Mungu na Mtume wake na ahadi yake, msitengue amani ya Mwenyezi Mungu na ahadi yake ndani yake.

Mafunzo: Atakayeswali swala yetu na akaelekea kibla chetu na aka…

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Vyakula na vinywaji. · Sala. · Rulings of Animals Slaughtered by the Disbelievers · Akida- Itikadi- · Fiq'hi na misingi yake. · Wajibu wa Swala na Hukumu ya Mwenye kuiacha. · Majina na Hukumu. · Uislamu

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله وبحمده Gloire et louange à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56