Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > (Shikamaneni na) Swala nyinyi na waliomilikiwa na mikono yenu ya kuume
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureUlikuwa usia mwingi wa Mtume rehema na amani ziwe juu yake kwa Umma wake naye akiwa katika ulevi wa kifo: Shikamaneni na swala na mdumu nayo na wala msighafilike nayo, na vile vile timizeni haki za wale wanaomilikiwa na mikono yenu ya kuume miongoni mwa watumwa na wajakazi na wamilikini kwa wema, akaendelea kuukariri, mpaka ukaanza kumkwama katika koo lake, na ulimi wake ukashindwa kuutamka kwa ufasaha.
Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Sala. · Historia ya Mtume. · Fiq'hi na misingi yake. · Kufa kwake Mtume rehema na amani za Allah ziwe juu yake: · Wajibu wa Swala na Hukumu ya Mwenye kuiacha. · Historia na Taarekh.