Hakuna waislamu wawili watakaokutana wakapeana mikono isipokuwa watasamehewa kabla hawajaa…
Islam > Sw > Hadith > Mambo yaliyo bora > Hakuna waislamu wawili watakaokutana wakapeana mikono isipokuwa watasamehewa kabla hawajaa…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad
Sahihi kwa mkusanyiko wa njia zake
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hakuna waislamu wawili watakaokutana wakapeana mikono i…
Maelezo ya hadith: Hakuna waislamu wawili watakaokutana wakapeana mikono i…
Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake: Kuwa hakuna waislamu wawili watakaokutana njiani na mfano wake wakasalimiana kwa kupeana mikono isipokuwa watasamehewa kabla hawajaachana kwa viwiliwili au kwa kumaliza kupeana mikono.
Mafunzo: Hakuna waislamu wawili watakaokutana wakapeana mikono i…
- Sunna ya kupeana mikono wakati wa kukutana, na himizo juu yake.
- Amesema Manawi: Na sunna haipatikani isipokuwa kwa kuweka mkono wa kulia katika mkono wa kulia kiasi kwamba hakuna udhuru.
- Himizo la kusambaza salamu, na kumebainishwa ukubwa wa malipo ya kumpa mkono muislamu ndugu yake muislamu.
- Kunavuliwa katika hadithi kupeana mikono kwa haramu, kama kumpa mkono mwanamke wa kando.
Makundi :
Mambo yaliyo bora.
· Adabu za kisheria.
· Ubora na fadhila za matendo mema.
· Adabu za kutoa salamu na kubisha Hodi.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
الله أكبر
Allah est le plus grand