Hakitasimama Kiyama mpaka mpigane na Mayahudi, mpaka jiwe ambalo nyuma yake kuna Myahudi l…
Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Hakitasimama Kiyama mpaka mpigane na Mayahudi, mpaka jiwe ambalo nyuma yake kuna Myahudi l…
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hakitasimama Kiyama mpaka mpigane na Mayahudi, mpaka ji…
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ عَنْ رَسُولِ اللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: «لاَ تَقُومُ السَّاعَةُ حَتَّى تُقَاتِلُوا اليَهُودَ، حَتَّى يَقُولَ الحَجَرُ وَرَاءَهُ اليَهُودِيُّ: يَا مُسْلِمُ، هَذَا يَهُودِيٌّ وَرَائِي فَاقْتُلْهُ».
Maelezo ya hadith: Hakitasimama Kiyama mpaka mpigane na Mayahudi, mpaka ji…
Amefahamisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa Kiyama hakitasimama mpaka Waislamu watakapopigana na Mayahudi, Mpaka atakapo kimbia Myahudi nyuma ya mawe ili ajifiche waislamu wasimuone; Mwenyezi Mungu atalitamkisha jiwe na litamuita Muislamu: Na kumwambia kuwa Myahudi yupo nyuma yake mpaka aje na amuuwe.
Mafunzo: Hakitasimama Kiyama mpaka mpigane na Mayahudi, mpaka ji…
- Kutoa habari -Mtume Rehema na amani ziwe juu yake-ya baadhi ya mambo yaliyofichikana na yatakayotokea baadaye, kwa namna ambayo Mwenyezi Mungu alivyomuonesha, na mambo hayo yatatokea kwa lazima.
- Waislamu kupigana na Mayahudi katika zama za mwisho, na tukio hilo ni katika alama za Kiyama.
- Kubakia kwa Dini ya Uislamu mpaka siku ya Kiyama, na itazishinda dini zote.
- Nusura ya Mwenyezi Mungu kwa waislamu dhidi ya maadui zao, na katika hilo la kuwashinda ameyafanya mawe yaongee katika siku za mwisho.
Makundi :
Akida- Itikadi-
· Kuamini siku ya mwisho
· Maisha ya Barzakhi (Baada ya kufa)
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله
Gloire à Allah