Hatokuwa na imani mmoja wenu mpaka yawe matamanio yake ni yenye kufuata yale niliyokujua n…

Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Hatokuwa na imani mmoja wenu mpaka yawe matamanio yake ni yenye kufuata yale niliyokujua n…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na katika kitabu cha Al-Hujjah kwa msururu sahihi wa wasimulizi

Amesema Nawawi: Hadithi hii ni sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hatokuwa na imani mmoja wenu mpaka yawe matamanio yake…

عَنْ أَبِي مُحَمَّدٍ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ عَمْرِو بْنِ العَاصِ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا، قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: «لَا يُؤْمِنُ أَحَدُكُمْ حَتَّى يَكُونَ هَوَاهُ تَبَعًا لِمَا جِئْتُ بِهِ».

Maelezo ya hadith: Hatokuwa na imani mmoja wenu mpaka yawe matamanio yake…

Amebainisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa mwanadam hawezi kuwa muumini mwenye imani kamili ya wajibu mpaka mapenzi yake yafuate yale aliyokuja nayo Mtume rehema na amani ziwe juu yake miongoni mwa amri na makatazo na mengineyo, ayapende aliyoamrishwa, na ayachukie aliyokatazwa.

Mafunzo: Hatokuwa na imani mmoja wenu mpaka yawe matamanio yake…

Makundi : Uzushi. · Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Akida- Itikadi- · Kuyasema vibaya matamanio ya nafsi na ya kimwili. · Ahl-us-Sunnah's (Sunni) Stance on Religious Innovators · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Majina na Hukumu.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
لا إله إلا الله Pas de divinité sauf Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56