Islam > Sw > Hadith > Fiqhi na misingi yake > Waliamrishwa watu kuwe kuagana kwao kwa mwisho ni katika nyumba (Alka'ba), isipokuwa likao…
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureعن عبد الله بن عبَّاس رضي الله عنهما قال: «أُمِرَ الناس أن يكون آخر عَهْدِهِمْ بالبيت، إلا أنه خُفِّفَ عن المرأة الحائض».
Nyumba tukufu inaheshima na takrima; yenyewe ni alama ya ibada za Mwenyezi Mungu na utulivu na unyenyekevu mbele yake yeye, ikapata heshima ndani ya vifua, na utukufu ndani ya nyoyo, na mapenzi na kufungamana nayo. Na kwaajili hiyo akamuamrisha Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- mwenye kuhiji iwe kuaga kwake ni hapo, na hii ndiyo twawafu (mzunguko) wa mwisho ambao ndio mzunguko wa kuaga, isipokuwa mwanamke mwenye hedhi; ni kwasababu huenda akauchafua msikiti kwa kuingia kwake, ikaondolewa kwake twawafu (mzunguko) bila kuufidia, na hii ni dalili katika hija hivyo haijumlishi na Umrah.
Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Hijja na Umra. · Kulingania na kuelekeza kwa Mungu. · Ubora wa uislamu na uzuri wake. · Fiq'hi na misingi yake. · Sifa za Hijjah. · Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya