Hawatofanikiwa watu waliomkabidhi utawala wao mwanamke

Islam > Sw > Hadith > Siasa ya kisheria > Hawatofanikiwa watu waliomkabidhi utawala wao mwanamke

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hawatofanikiwa watu waliomkabidhi utawala wao mwanamke

Maelezo ya hadith: Hawatofanikiwa watu waliomkabidhi utawala wao mwanamke

Amebainisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake ya kwamba hawatofanikiwa watu kwa kupata wanayoyataka pindi watakapomtawalisha na kummilikisha mwanamke swala la hukumu au usimamizi wa dola au wizara.

Mafunzo: Hawatofanikiwa watu waliomkabidhi utawala wao mwanamke

Makundi : Siasa ya Kisheria. · Masharti ya uongozi mkuu. · Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya

بسم الله الرحمن الرحيم mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
أحدب متناقص Gibbeuse Décroissante Jour 16.7 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
أستغفر الله Je demande pardon à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56