Islam > Sw > Hadith > Quran tukufu na elimu zake > Atakayesoma herufi moja katika kitabu cha Allah basi atapata jema moja kwa herufi hiyo, na…
Ni nzuri (Hasan)Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureعن عبد الله بن مسعود رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: «مَنْ قَرَأَ حَرْفًا مِنْ كِتَابِ اللهِ فَلَهُ بِهِ حَسَنَةٌ، وَالْحَسَنَةُ بِعَشْرِ أَمْثَالِهَا، لَا أَقُولُ {الم} حَرْفٌ، وَلَكِنْ {أَلِفٌ} حَرْفٌ، وَ{لَامٌ} حَرْفٌ، وَ{مِيمٌ} حَرْفٌ».
Ameeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa kila muislamu anayesoma herufi moja katika kitabu cha Mwenyezi Mungu basi atapata jema moja kwa herufi hiyo, na huzidishiwa malipo hayo mpaka mara kumi mfano wake.
Kisha akaliweka wazi hilo kwa kauli yake: (Sisemi "Alif Laam Miim" ni herufi, lakini Alif ni herufi, na Laam ni herufi, na Miim ni herufi): Inakuwa herufi zote tatu zina thawabu thelathini (30).
Makundi : Qur'an tukufu na Elimu zake · Fadhila za Qur'an. · Mambo yaliyo bora. · Ubora wa Qur'an tukufu. · Ubora wa kuitilia umuhimu Qur'ani. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.