Nilishuhudia swala ya Idd pamoja na Omari bin Khattwab radhi za Allah ziwe juu yake, akase…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Nilishuhudia swala ya Idd pamoja na Omari bin Khattwab radhi za Allah ziwe juu yake, akase…
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Nilishuhudia swala ya Idd pamoja na Omari bin Khattwab…
Maelezo ya hadith: Nilishuhudia swala ya Idd pamoja na Omari bin Khattwab…
Alikataza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kufunga siku ya Iddil-Fitiri na Iddil-Adh-ha; ama Iddil-Fitiri ni siku ya kufungua kutoka katika swaumu ya mwezi wa Ramadhani, na ama Iddil-Adh-ha ni siku ya kula katika vichinjwa.
Mafunzo: Nilishuhudia swala ya Idd pamoja na Omari bin Khattwab…
- Uharamu wa kufunga siku mbili za Iddil-Fitiri na Iddil-Adh-ha, na siku tatu za kubanika nyama; kwa sababu zinafuatana na siku ya Iddil-Adh-ha isipokuwa kwa yule ambaye hakupata cha kutoa, itafaa kwake kufunga siku za kubanika nyama.
- Amesema bin Hajari: Imesemekana kuwa: Na faida ya kuzitaja siku mbili ni ishara ya kuonyesha sababu ya uwajibu wa kufungua ndani yake, nazo ndio mapumziko ya swaumu, na kudhihirisha ukamilifu wake peke yake kwa kufungua siku zilizo baada yake, na Idd nyingine ni kwa ajili ya kuchinja kwa mwenye kujikurubisha kwa kichinjwa chake ili ale kutoka katika kichinjwa hicho.
- Inapendeza kwa mtoa hotuba ataje katika hotuba yake yale yanayohusiana na wakati wake miongoni mwa hukumu, na atumie fursa ya matukio kama hayo.
- Sheria ya kula kutoka katika kichinjwa cha ibada.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Funga.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Yaliyo haramu kwa mfungaji.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
حسبنا الله ونعم الوكيل
Allah nous suffit, quel excellent protecteur