Islam > Sw > Hadith > Tiba na kutumia dawa na ruqya ya kisheria > Weka mkono wako juu ya mahala panapoumia katika mwili wako, na usema: Bismillaah, (kwa jin…
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureOthman bin Abil Aswi alipata maumivu makali ambayo yalikaribia kumuua, Mtume rehema na amani ziwe juu yake akaenda kumtembelea, na akamfundisha dua ambayo Mwenyezi Mungu atamuondolea maradhi yaliyomfika; nayo ni aweke mkono wake juu ya mahala panapoumia, na aseme: "Bismillaah" mara tatu, kisha aseme mara saba: "Ninataka kinga" na ninajikinga na kujiweka na kujilinda (kwa Mwenyezi Mungu na kudura zake kutokana na shari za yale ninayoyapata) katika maumivu ya wakati huu (na kuyahofia) na ninahofia kutokea maumivu mengine baadaye miongoni mwa huzuni na hofu, au kuendelea kwa maradhi na yakasambaa maumivu yake katika mwili.
Makundi : Tiba na kutumia dawa na Ruq'ya ya kisheria. · Ruq'ya ya Kisheria. · Fiq'hi na misingi yake.