Nilimwendea Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- nikitaka kuwa muislamu, akaniamrisha nio…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi na misingi yake > Nilimwendea Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- nikitaka kuwa muislamu, akaniamrisha nio…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abuu Daud, Tirmidhiy na Nasaai
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Nilimwendea Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- nikit…
عن قيس بن عاصم رضي الله عنه قال: أتيتُ النبيَّ صلى الله عليه وسلم أُريدُ الإسلامَ، فأَمَرَني أن أغتَسِلَ بماءٍ وسِدرٍ.
Maelezo ya hadith: Nilimwendea Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- nikit…
Alikuja Kaisi bin Aswim kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akitaka kusilimu, Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akamuamrisha aoge kwa maji na mti wa mkunazi; kwakuwa majani yake hutumika katika usafi; na kwakuwa yana harufu nzuri.
Mafunzo: Nilimwendea Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- nikit…
- Sheria ya kafiri kuoga anapoingia katika Uislamu.
- Thamani ya Uislamu na kutilia kwake umuhimu mwili na roho vyote kwa pamoja.
- Maji kuchanganyika na vitu safi haviyatoa katika twahara yake.
- Visimama badala ya mkunazi vifaa vya usafi vya kisasa, kama sabuni na mfano wake.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Twahara - usafi-
· Fiq'hi na misingi yake.
· Kuoga.
· Vyenye kuwajibisha kutawadha.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
لا حول ولا قوة إلا بالله
Pas de force ni de puissance sauf en Allah