Itakapokimiwa swala basi hakuna swala nyingine isipokuwa swala ya faradhi
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Itakapokimiwa swala basi hakuna swala nyingine isipokuwa swala ya faradhi
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Itakapokimiwa swala basi hakuna swala nyingine isipokuw…
Maelezo ya hadith: Itakapokimiwa swala basi hakuna swala nyingine isipokuw…
Mtume rehema na amani ziwe juu yake amemkataza atakayekuwa msikitini aanze kuswali sunna baada ya kukimiwa swala ya faradhi.
Mafunzo: Itakapokimiwa swala basi hakuna swala nyingine isipokuw…
- Katazo la kuswali sala ya sunna itakapokimiwa swala ya faradhi msikitini.
- Katazo la kuanza sunna baada ya kukimiwa swala, sawa sawa iwe ni sunna yenye utaratibu maalumu kama sunna ya Alfajiri na Adhuhuri au nyingineyo.
- Pindi itakapokimiwa swala akiwa ndani ya sala ya sunna; ikiwa amebakiza kiasi kidogo chini ya rakaa moja basi ataikamilisha kwa haraka, na isipowezekana basi ataikatisha ili aipate takbira ya kuanza swala.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Sala.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Ubora wa Swala ya Jamaa na Hukumu zake.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله
Gloire à Allah