Hakitosimama Kiyama mpaka watu wajifaharishe katika Misikiti
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Hakitosimama Kiyama mpaka watu wajifaharishe katika Misikiti
Hadith imesimuliwa na: Imepoekelewa na Abu Daud, Nasai na Ibn Majah
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hakitosimama Kiyama mpaka watu wajifaharishe katika Mis…
Maelezo ya hadith: Hakitosimama Kiyama mpaka watu wajifaharishe katika Mis…
Anaeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake: Kuwa miongoni mwa dalili za kukaribia kwa Kiyama na kumalizika kwa Dunia, ni watu kujifaharisha kwa kuipamba Misikiti yao, au kujifaharisha kwa dunia yao ndani ya misikiti ambayo haikujengwa ila kwa ajili ya kumtaja Mwenyezi Mungu.
Mafunzo: Hakitosimama Kiyama mpaka watu wajifaharishe katika Mis…
- Uharamu wa kujifaharisha kwa Misikiti, na kwamba ni jambo lisilokubalika; kwa sababu kitendo hicho hakikufanyika kwa ajili ya Mwenyezi Mungu.
- Katazo la kuipamba Misikiti kwa rangi na vito na nakshi, na maandishi; kwa sababu ndani yake kuna kuwashughulisha wenye kuswali wanapoyatazama.
- Amesema Assanadi: Hadithi ni miongoni mwa zile ambazo uhalisia unashuhudia yaliyosemwa, ni miongoni mwa miujiza ya kushangaza ya Mtume rehema na amani ziwe juu yake.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Sala.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Hukumu za Misikiti.
بسم الله الرحمن الرحيم
mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
اللهم صل على محمد
Ô Allah prie sur Muhammad