Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ya tabia > Muislamu wa kweli ni yule wanayepata Amani waislamu wenzake kutokana na ulimi wake na mkon…
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureAmeeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa muislamu mwenye Uislamu kamili ni yule waliosalimika waislamu kutokana na ulimi wake, hawatukani, na wala hawalaani, wala hawasengenyi, na wala hawazunguki kwa aina yoyote miongoni mwa aina za maudhi kwa ulimi wake, na wamesalimika kutokana na mkono wake, hawatendei ubaya, na wala hachukui mali zao pasina haki, na mfano wa hayo, na mwenye kuhama, ni yule mwenye kuacha yale aliyoyaharamisha Mwenyezi Mungu Mtukufu.
Makundi : Fiq'hi ya Tabia. · Adabu za kisheria. · Tabia njema. · Adabu za mazungumzo na kunyamaza. · Akida- Itikadi- · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Majina na Hukumu. · Kuzidi kwa Imani na Kupungua kwake.