Hadith kuhusu Fiq'hi ya Tabia.

Islam > Sw > Hadith > Fiq'hi ya Tabia.

Hadith 73 za Nabii zilizoelezwa kuhusu «Fiq'hi ya Tabia.»: maandishi ya Kiarabu, tafsiri, maelezo na mafunzo, na kiwango cha ukweli na vyanzo.

Mis à jour le 26 octobre 2026

Orodha ya hadith kuhusu Fiq'hi ya Tabia.

Sahihi Muislamu wa kweli ni yule wanayepata Amani waislamu wenzake kutokana na ulimi wake na mkono wake, na mhamaji ni yule mwenye kuyahama yale aliyoyakataz Sahihi Hakuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake na maneno machafu wala mwenye kujilazimisha machafu, wala hakuwa na makelele masokoni, na wala alikuwa hali Sahihi Pindi atakapaowakusanya Mwenyezi Mungu wa mwanzo na wa mwisho siku ya Kiyama itanyanyuliwa bendera kwa kila haini, patasemwa: Hii ndio hiana ya fulani Sahihi Hivi nikuelezeni madhambi makubwa? Sahihi Hakika hao wawili wanaadhibiwa, na hawaadhibiwi kwa makosa makubwa, ama mmoja wao alikuwa hajistiri na mkojo, na ama mwingine alikuwa akitembea kwa ku Sahihi Atakapompenda mtu ndugu yake basi na amueleze kuwa anampenda Sahihi Yaepukeni mambo saba yenye kuangamiza Sahihi Atakayesimamia chochote kwa watoto wa kike hawa, akawatendea wema, basi watakuwa ni kinga kwake kutokana na moto Sahihi Hakika mimi ninajua neno ambalo lau kama angelisema yangemuondokea anayaoyapata (katika hasira), lau angesema: Audhubillaahi minash-shaitwani, -Najili Sahihi Hakika umesema neno ambalo lau lingechanganywa na maji ya Bahari basi (lingeyabadili rangi) kwa kuchanganyika nayo Sahihi Allah amhurumie mtu ambaye ni mpole anapouza, na anaponunua, na anapo dai deni Sahihi Kulikuwa na mtu akiwakopesha watu,basi alikuwa akisema kumwambia kijana wake (Akienda kudai): Ukifika kwa mwenye hali ngumu, basi msamehe, huenda nasi Sahihi Hatomsitiri mja mja mwenzie duniani isipokuwa Mwenyezi Mungu atamsitiri siku ya kiyama Amesema Al-tirmidhiy: Hadithi hii ni Hasan Mche Mwenyezi Mungu popote ulipo, na ovu lifuatishe jema litalifuta, na ishi na watu kwa tabia njema Sahihi Wema ni tabia njema, na dhambi ni lile litakalokukereketa katika kifua chako, na ukachukia watu wasilione Sahihi Hakika Mwenyezi Mungu amewajibisha (kufanya) wema katika kila kitu Sahihi Hakika katika yale waliyoyakuta watu miongoni mwa maneno ya kiutume ya mwanzo, usipokuwa na haya basi fanya ulitakalo Sahihi Msihusudiane, na wala msipandishiane bei, na wala msichukiane, na wala msitengane, na wala wasiuze baadhi yenu juu ya biashara ya wengine, na kuweni w Sahihi Usikasirike Sahihi Hawezi kuwa na imani mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake anachokipenda yeye katika nafsi yake Sahihi Hakika waadilifu mbele ya Mwenyezi Mungu watakuwa katika mimbari za nuru, kuliani mwa Allah Mtukufu, na mikono yake yote miwili ni kulia Sahihi Mwenye kunyimwa upole basi kanyimwa kheri yote Sahihi Lau mwanadamu angelikuwa na mabonde mawili ya mali basi angelitafuta la tatu Sahihi Tahadharini na dhana; kwani dhana ni mazungumzo ya uongo mno Sahihi Kumtukana Muislamu ni ufasiki (kutoka nje ya mipaka), na kupigana naye ni ukafiri Sahihi Kamwe!, Usidharau chochote katika wema, hata kama ni kukutana na ndugu ukiwa na uso mkunjufu Sahihi Mtu hawi na nguvu kwa kupigana miereka, bali mwenye nguvu ni yule anayeimiliki nafsi yake wakati wa hasira Sahihi Atakayeelekeza katika jambo la kheri basi atapata malipo mfano wa malipo ya mfanyaji wake Sahihi Haingii peponi mfitinishaji Sahihi Hakuna kitu chenye uzito zaidi katika mizani ya muumini siku ya Kiyama kuliko tabia njema, na hakika Mwenyezi Mungu anamchukia mtu muovu mwenye kauli Sahihi Mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho basi na aseme la kheri au anyamaze Sahihi Asiyewahurumia watu naye Mwenyezi Mungu Mtukufu hamhurumii Sahihi Hakika mtu anayechukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni mgomvi mkorofi Ni nzuri (Hasan) na ni sahihi Aliulizwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuhusu mambo yatakayowaingiza watu peponi kwa wingi, akasema: "Ni uchamungu na tabia njema Sahihi Haya ni katika imani Sahihi Hakika watoa laana hawatokuwa mashahidi wala watetezi siku ya Kiyama Sahihi Na hakika Mwenyezi Mungu ameniteremshia wahyi kuwa, kuweni wanyenyevu, mpaka asijikweze yeyote kwa mwingine, na wala asimfanyie uadui yeyote mwenzake Sahihi Kutoka kwa Abdillah bin Mas'udi -radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Amesema: Amesema Mtume -rehema na amani ziwe juu yake-: "Shikamaneni na ukweli Sahihi Atakayeitetea heshima ya ndugu yake basi Mwenyezi Mungu ataukinga uso wake na moto siku ya Kiyama Sahihi Hakika Mwenyezi Mungu humpenda mja mchamungu, mwenye kutosheka, mnyenyekevu Sahihi Ogopeni dhulma, kwa hakika dhulma ni giza siku ya kiyama. Na ogopeni tamaa, kwa hakika tamaa iliwaangamiza walio kuwepo kabla yenu Ni nzuri (Hasan) Muumini iliyekamilika zaidi imani yake ni yule mwenye tabia nzuri zaidi kuliko wengine, na mbora wenu ni yule mbora wenu kwa wake zake Sahihi Hakika upole hauwi ndani ya kitu isipokuwa hukipendezesha, na hautolewi ndani ya kitu ila hukichafua Sahihi Ewe Aisha, hakika Mwenyezi Mungu ni Mpole anapenda upole, na hutoa malipo katika upole ambayo hayatoi katika ususuwavu (ukali), na wala hatoi kwa meng Ni sahihi kwa ushahidi wake mbalimbali Hakika muumini hufikia kwa sababu ya tabia zake njema daraja ya mfungaji mwenye kusimama usiku Sahihi Hakika kwako wewe kuna mambo mawili anayapenda sana Mwenyezi Mungu: Upole, na utaratibu Sahihi Hakika katika watu wanaopendeka zaidi kati yenu kwangu mimi, na atakayekaa karibu zaidi kati yenu na mimi siku ya Kiyama ni yule atakayekuwa na tabia Sahihi Hakika katika wabora wenu ni mtu mwenye tabia njema kuliko wote Sahihi Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi Sahihi Fanyeni mambo kuwa mepesi na wala msiyafanye kuwa magumu, na wapeni watu bishara njema na wala msiwakimbize Sahihi Mlisheni mwenye njaa, na mtembeleeni mgonjwa, na mwacheni huru mateka Sahihi Atakayejifunza elimu katika yale yanayo ambayo hutafutwa radhi za Mwenyezi Mungu Mtukufu, hajifunzi isipokuwa kwa ajili ya kupata masilahi ya kidunia, Sahihi Je mnajua ni nani aliyefilisika? Sahihi Yeyote atakayenisingizia mimi uongo kwa makusudi basi ajiandalie makazi yake kuwa ni motoni Amesema Imamu Nawawi: Hadithi hii ni hasan Katika uzuri wa uislamu wa mtu: Ni kuacha kwake yale yasiyomuhusu Sahihi Achaneni (na ubaguzi) kwani una nuka Sahihi Muumini si msemaji watu vibaya wala mtoaji wa laana wala muovu wala mwenye kauli chafu Sahihi Msimlaani, Wallahi, namuapa Mwenyezi Mungu sikujua lolote kwake isipokuwa anampenda Mwenyezi Mungu na Mtume wake Ni nzuri (Hasan) Kwa hakika nimetumwa ili kutimiliza tabia njema Ni nzuri kwa sababu ya hadithi nyinginezo Hana imani asiyekuwa na uaminifu, na hana dini asiyekuwa na ahadi (za kweli)
بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
اللهم صل على محمد Ô Allah prie sur Muhammad

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56