Hana imani asiyekuwa na uaminifu, na hana dini asiyekuwa na ahadi (za kweli)

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ya tabia > Hana imani asiyekuwa na uaminifu, na hana dini asiyekuwa na ahadi (za kweli)

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Ahmad

Ni nzuri kwa sababu ya hadithi nyinginezo

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hana imani asiyekuwa na uaminifu, na hana dini asiyekuw…

Maelezo ya hadith: Hana imani asiyekuwa na uaminifu, na hana dini asiyekuw…

Anaeleza Anasi bin Maliki radhi za Allah ziwe juu yake kuwa ni mara chache sana akihutubia Mtume rehema na amani ziwe juu yake au atoe mawaidha isipokuwa alikuwa akitaja mambo mawili: La kwanza: Hana imani mtu ambaye ndani ya nafsi yake kuna hiyana na mtu katika mali yake au nafsi yake au familia yake. La pili: Hana dini kamili mwenye kufanya hiyana katika ahadi na mikataba na kuivunja.

Mafunzo: Hana imani asiyekuwa na uaminifu, na hana dini asiyekuw…

Makundi : Fiq'hi ya Tabia. · Tabia njema. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
أحدب متناقص Gibbeuse Décroissante Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
اللهم صل على محمد Ô Allah prie sur Muhammad

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56