Hakika muumini hufikia kwa sababu ya tabia zake njema daraja ya mfungaji mwenye kusimama u…
Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Hakika muumini hufikia kwa sababu ya tabia zake njema daraja ya mfungaji mwenye kusimama u…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud na Ahmad
Ni sahihi kwa ushahidi wake mbalimbali
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hakika muumini hufikia kwa sababu ya tabia zake njema d…
عن عائشة رضي الله عنها قالت: سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول: «إنَّ المُؤْمِنَ ليُدرِكُ بِحُسْنِ خُلُقِهِ دَرَجَةَ الصَّائِمِ القَائِمِ».
Maelezo ya hadith: Hakika muumini hufikia kwa sababu ya tabia zake njema d…
Anabainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa tabia njema humfikisha mwenye tabia hiyo nafasi ya mwenye kufunga mchana daima na kusimama usiku, na tabia njema inakusanywa na: Kutenda wema, na kauli nzuri, na uso mkunjufu, na kuacha maudhi na kuyavumilia kutoka kwa watu.
Mafunzo: Hakika muumini hufikia kwa sababu ya tabia zake njema d…
- Uislamu umetilia umuhimu mkubwa kurekebisha tabia na ukamilifu wake.
- Ubora wa tabia njema, mpaka mja humfikisha daraja ya mfungaji asiyefungua na mwenye kusimama usiku asiyechoka.
- Kufunga mchana na kusimama usiku ni amali mbili kubwa, kuna uzito mkubwa sana kwa nafsi, lakini daraja yake ameifikia mwenye tabia njema kwa kupambana na nafsi yake ili kuwa na muamala mzuri na watu.
Makundi :
Fiq'hi ya Tabia.
· Tabia njema.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
سبحان الله
Gloire à Allah