Hivi nisikuelezeni lililo bora kuliko daraja ya swaumu na swala na sadaka?

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu kuhusu familia > Hivi nisikuelezeni lililo bora kuliko daraja ya swaumu na swala na sadaka?

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud na Tirmidhiy

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hivi nisikuelezeni lililo bora kuliko daraja ya swaumu…

Maelezo ya hadith: Hivi nisikuelezeni lililo bora kuliko daraja ya swaumu…

Aliwauliza Mtume rehema na amani ziwe juu yake Maswahaba zake: Je, nikuelezeni lililo bora kuliko kuzidisha ibada za sunna kama swaumu na swala na sadaka? Wakasema: Ndio. Akasema: Ni kuwapatanisha waliogombana kwani ugomvi huleta mfarakano na kujitenga na kuchukiana na kupeana migongo kati ya watu, kwani yanayoambatana na kuharibika kwa mahusiano baina ya watu miongoni mwa chuki ndio jambo ambalo katika tabia zake huangamiza na kuing'oa dini na dunia kama wembe unavyong'oa nywele.

Mafunzo: Hivi nisikuelezeni lililo bora kuliko daraja ya swaumu…

Makundi : Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia. · Jamii ya Kiislamu · Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Matendo ya moyoni. · Fiq'hi na misingi yake. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
أحدب متناقص Gibbeuse Décroissante Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
أستغفر الله Je demande pardon à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56