Mambo mawili kwa watu hayo kwao ni ukafiri: Kutiana doa katika nasaba (ukoo), na kulia kwa…
Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Mambo mawili kwa watu hayo kwao ni ukafiri: Kutiana doa katika nasaba (ukoo), na kulia kwa…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Mambo mawili kwa watu hayo kwao ni ukafiri: Kutiana doa…
Maelezo ya hadith: Mambo mawili kwa watu hayo kwao ni ukafiri: Kutiana doa…
Anaeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuhusu mambo mawili kwa watu kuwa ni katika matendo ya makafiri, na ni tabia za enzi za ujinga, nayo ni:
La kwanza: Kutukana nasaba (koo) za watu na kuzishushia heshima na kujikweza juu yao.
La pili: Kunyanyua sauti wakati wa msiba kwa kulalamika juu ya kadari, au kukata nguo kwa sababu ya mfadhaiko mkubwa.
Mafunzo: Mambo mawili kwa watu hayo kwao ni ukafiri: Kutiana doa…
- Himizo la unyenyekevu na kutokujikweza kwa watu
- Ulazima wa kusubiri juu ya msiba na kutolalamika.
- Matendo haya ni katika ukafiri mdogo, na si kwamba mwenye kufanya sehemu katika sehemu za ukafiri anakuwa kafiri ukafiri unaomtoa mtu katika mila ya Uislamu mpaka umthibitikie ukafiri mkubwa.
- Uislamu umekataza mambo yote yanayopelekea kutengana baina ya waislamu kama kutukana nasaba na mengineyo.
Makundi :
Akida- Itikadi-
· Majina na Hukumu.
· Kufuru
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
اللهم صل على محمد
Ô Allah prie sur Muhammad