Atakayeamka miongoni mwenu akiwa na afya njema katika mwili wake, akiwa na amani katika mj…

Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > Atakayeamka miongoni mwenu akiwa na afya njema katika mwili wake, akiwa na amani katika mj…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Tirmidhi na bin Majah

Ni nzuri (Hasan)

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Atakayeamka miongoni mwenu akiwa na afya njema katika m…

Maelezo ya hadith: Atakayeamka miongoni mwenu akiwa na afya njema katika m…

Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake ya kwamba atakayeamka miongoni mwenu enyi waislamu akiwa mzima wa afya katika mwili wake akiwa amesalimika na matatizo na magonjwa, akiwa na amani ndani ya nafsi yake na watu wake na familia yake na barabara zake, na akiwa hana hofu, na akiwa na chakula cha halali cha kumtosha kwa siku yake; basi ni kana kwamba kakabidhiwa dunia yote nzima.

Mafunzo: Atakayeamka miongoni mwenu akiwa na afya njema katika m…

Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Kuipa nyongo Dunia na Kujiepusha na yaliyo haramu. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
أحدب متناقص Gibbeuse Décroissante Jour 16.7 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله Gloire à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56